Kijana acha kutafuta mapenzi tafuta pesa

Wengine bila mambo flani hatuwezi kuishi, mapenz kwanza pesa baadae
 
Asilimia kubwa ya watanzania ni maskini, pamoja na umaskini huo wanaume wako ktk mahusiano je kwa wao imewezekanaje?

Tatizo mnaenda kutongoza wachunaji kisha mnajumuisha wote wako hivyo

Pesa ni muhimu sana kwa maisha ya sasa lkn haitakupa kila unachokitaka.
 
Hii ni akili ya mtu asie na pesa. Mtu asie na pesa huwa anafikiri solution ya matatizo yake (iwe kijamii au kiuchumi) ni pesa.
Kaka ni wachache sana watakao kuelewa ila umeandika jambo moja fikirishi sana na lina maana pana sana kisha ni ukweli mtupu,Big up
 
Natumai mko salama wanajamiiforum wote kwa ujumla.
Kipindi cha nyuma kidogo kuna kijana mwenzangu alikuwa rafiki yangu sana.
Pia nilipenda kuongea nae kuhusu maisha kwa ujumla na kumuomba ushauri wa maswala mbalimbali yaliyokuwa yakinisumbua sabb ni kijana mdogo sana kiumri ila ana mafanikio makubwa sana.
Siku moja nikiwa naongea nae kuhusu mpenzi wangu kuniacha na jinsi ninavyosumbuka kupata totoz wakali wakati yeye mpaka wanamgombania totoz wakali ndipo aliponiambia kauli ambayo mwanzo sikuiamini sana ila leo hii ndo naiamini.
Nanukuu: (Dogo tafuta pesa kwanza wanawake watakuja wenyewe)
Japo sina pesa ila kitendo cha kuwa na uhakika wa maisha kimenifanya nijiamini sana kwa hawa viumbe.
Na nikwambie kitu kijana mwenzangu unayesoma uzi huu ukiwa na uhakika wa maisha hawa viumbe hawatakutesa tena, sabb utakuwa na uwezo wa kumpata umtakaye hata kama ana mtu utakuwa na uwezo wa kufanya mapinduzi na yatafanikiwa kwa %.
Mapenzi ya sasa ni kizungumkuti sana.
Atakwambia anakupenda mkiwa ndani ya bajaji kesho akipewa lifti na mwenye Prado huna chako tena hapo my friend.
Ukitaka mafanikio fuata haya.
Acha kuhonga hovyo, kuwa bahili ila usiwe mchoyo na fanya kazi kwa bidii.
Mapenzi ni hisia,unaposema ukiwa una pesa unaweza kufanya mapinduzi hata ya kumchukua mwanamke aliye na mtu wake na akaja kwako hiyo ina maana huyo mwanamke atakuja kwako coz atafuata hela zako na sio true love toka kwako,

Mwanamke anayejielewa na anayeishi na mtu ampendaye kwa dhati basi huyo hutoweza kumpata kirahisi kihivyo kisa eti una hela,

Money can't buy TRUE LOVE.
 
Ngoja viben10 na wapenda vitonga waje kukubishia hapa
 
Natumai mko salama wanajamiiforum wote kwa ujumla.
Kipindi cha nyuma kidogo kuna kijana mwenzangu alikuwa rafiki yangu sana.
Pia nilipenda kuongea nae kuhusu maisha kwa ujumla na kumuomba ushauri wa maswala mbalimbali yaliyokuwa yakinisumbua sabb ni kijana mdogo sana kiumri ila ana mafanikio makubwa sana.
Siku moja nikiwa naongea nae kuhusu mpenzi wangu kuniacha na jinsi ninavyosumbuka kupata totoz wakali wakati yeye mpaka wanamgombania totoz wakali ndipo aliponiambia kauli ambayo mwanzo sikuiamini sana ila leo hii ndo naiamini.
Nanukuu: (Dogo tafuta pesa kwanza wanawake watakuja wenyewe)
Japo sina pesa ila kitendo cha kuwa na uhakika wa maisha kimenifanya nijiamini sana kwa hawa viumbe.
Na nikwambie kitu kijana mwenzangu unayesoma uzi huu ukiwa na uhakika wa maisha hawa viumbe hawatakutesa tena, sabb utakuwa na uwezo wa kumpata umtakaye hata kama ana mtu utakuwa na uwezo wa kufanya mapinduzi na yatafanikiwa kwa %.
Mapenzi ya sasa ni kizungumkuti sana.
Atakwambia anakupenda mkiwa ndani ya bajaji kesho akipewa lifti na mwenye Prado huna chako tena hapo my friend.
Ukitaka mafanikio fuata haya.
Acha kuhonga hovyo, kuwa bahili ila usiwe mchoyo na fanya kazi kwa bidii.
tatizo umri wa kuishi mwanadamu ni mdogo sana. Utajikakamua kutafuta pesa weee, mwisho wa siku unakufa na pesa watu wanagawana. Unajikuta hujawagonga na hujafaidi kutumia hizo pesa.
 
Back
Top Bottom