Kijana abaka mbuzi wa jirani

Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.

Mnyama au kitoweo hakina haki, aachiliwe jamani. Mbona vijana wengi tu wanabaka nyungunyungu kwa ajili ya punyeto na hawakamatwi wala kuchukuliwa hatua?
 
Kuna watu wa ajabu sana, wengine tunaona mbuzi kama kitoweo, wengine wanaona mbuzi kama demu aisee
 
Mnyama au kitoweo hakina haki, aachiliwe jamani. Mbona vijana wengi tu wanabaka nyungunyungu kwa ajili ya punyeto na hawakamatwi wala kuchukuliwa hatua?

hawajakamatwa, wewe upo tayari kula kitoweo kilicho bakwa?
 
Marehemu Karume alitembelea gereza moja huko Zenj zamani akitaka kutambua uhalifu mwingi ni wa aina gani.
Alipouliza wafungwa kilichowaleta gerezani mmoja baada ya mwingine,
waliosema niliiba kuku,maandazi,ubwabwa - aliwaachia,
waliosema nilimpiga mama watoto - aliwaachia
mmoja akaseme nilimla vitu mbuzi - akasema "eboo! unanajisi kitoweo? Ongeza adhabu kwa huyu!
 
Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.

How sure you are? Post some attachment 2 make your self clear! Right?
 
hawajakamatwa, wewe upo tayari kula kitoweo kilicho bakwa?

Unataka kuniambia vitoweo vyote unavyokula au ulivyowahi kula wewe ni halali? Duniani watu finyu wako wengi sana haswa hawa wachinjaji wanyama, wengi wao hazimo kichwani na usishangae wengine wanabaka hao wanyama na kuwachinja baada ya kumaliza shughuli zao. Angalia watoto waliochanganywa na damu za wanyama hapa duniani:

8568342082_7bb660a11d.jpg 4275516667_54477b2603.jpg chinese-woman-grows-horn-6.jpg
 
Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.
Kinyume na maumbile? Kivipi? Kwani mbuzi anakinyume na maumbile?
 
Back
Top Bottom