Kijana abaka mbuzi wa jirani

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.
 
Hizi bange hizi...Mungu wanusuru waja wako...mambo gani haya mwezi mtukufu??
 
yaaaalaaah ya habiby!!
ina maana kashindwa kuvumilia
mfungo uishe mpaka ambakue meeee?!!afungwage tu khaaa!!
 
Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.

kijana kama huyo akikuta hio avatar yako kichakani haiachi...atakubaka
 
Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.

Hivi kwanini mnasema KAMBAKA mbuzi? Kuna uwezekano mbuzi kakubali-kama ambavyo ng'ombe anatulia kukamuliwa akipewa chumvi! Hivyo labda kosa liwe kumuingilia mbuzi kinyume cha maumbile..
 
kama ana umri wa foolish age hiyo kitu huwa inafanyika sana lakini inakuwa siri. wanaotokea mikoa ya wafugaji wanajua sana hiyo kitu Wakati mko machungani. chezea barehe ya kwanza wee .Nashauri mahakama iangalie umri wake harafu impe onyo kali asirudie sio kifungo.
 
Kijana mmoja mkazi wa mkoa wa Tanga amefikishwa mahakamani Tanga kwa tuhuma ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mbuzi wa jirani yake huko mkoani Tanga, Hakimu amemnyima dhamana kijana huyo, kwani kosa la ubakaji halina dhamana.
Da! Yaani kabaka Kitoeo !
 
...Sijui huyo Miss Mee nyama yake ni miomgoni mwa ambazo tutatafuna kwenye siku kuu ya Idd el Fitr?:tape:
 
Wanawake wapo million 23 na wanaume wapo million 21 Kati ya Idadi ya Watanzania Milion 44 hivyo wanawake ni Wengi sasa kuliko Wanaume iweje kijana akambake mnyama Mbuzi ?akapimwe Akili kisha mbuzi nayo ichunguzwe Kama umepata gonjwa la Zinaa ! Kisha mbuzi ichinjwe kabsa kuepusha balaa
 
Itakuwa uonevu,kugongwa agongwe yeye na kuchinjwa juu!
 
Back
Top Bottom