Wakuu naomba kufahamishwa kiinua mgongo cha mwalimu wa shule ya msingi ya serikali huwa ni kiasi gani.
Asanteni.
Ndugu yenyewe
Kiinua mgongo hakitolewi kwa kutazama makundi ya watu Kama walimu madaktari etc...
Kiinua mgongo kinapatikana kwa kufanya calculation ya mshahara wako Wa mwisho na muda uliotumikia kazini...
Viwango haviko fixed coz tunatofautiana muda Wa kuanza kazi, elimu n.k
Kwahiyo unaweza kuwa mwalimu mwenye kisomo ukastaafu na mshahara mzuri then ukapata gratuity yamaana.
Ivi kwann upige calculation ya ukiwa na miaka 60 ili hali una miaka let say 25? Kwann usipge hesabu yakuajiriwa na upate mkopo baada ya miaka 5 uwe na ufugaji wa kuku 1000 wa mayai ambao kwa siku watakuingizia 216,000 na kwa mwezi 6. m, kwa mwaka c chini ya 72.8m,,, toa gharama nyingne za chakula mhudumu na madawa! 36m,,, so baada ya miaka 3 una 100m! Husikimbilie kununua gr huwezo wa mafuta shida. Tafakari!
Ni cha kawaida sana sana unakua unamaanisha nn. No research no ryt to speak.Ni cha kawaida sana, sana sana utaishia kununua kiwanja na utajenga nyumba itaishia kwenye rentor lol.
taratibu kijana, kwa muktadha wangu ni pesa ya kawaida. by the way alotaka kujua anadai ana mdogo wake anataka enda somea field husuka, ko anataka vanya varietion atapata pesa ngapi atapostafu. Huoni huo ni ujuha?Ni cha kawaida sana sana unakua unamaanisha nn. No research no ryt to speak.
Mawazo yako ni mazuri, japokuwa sicho kitu nilichouliza
Wakuu naomba kufahamishwa kiinua mgongo cha mwalimu wa shule ya msingi ya serikali huwa ni kiasi gani.
Asanteni.
Wakuu naomba kufahamishwa kiinua mgongo cha mwalimu wa shule ya msingi ya serikali huwa ni kiasi gani.
Asanteni.
Yenyewe nakuomba ni kwambie kitu. Kiinua mgongo inategemea na elimu hapa inadepand na mshahara wa elimu yako, muda uliofanya kazi serikalini, pia inategemea na mikopo uliyokopa maana nayo huwa inakatwa humohumo kama hukumalizia kwenye sacoss na mabank, lengine ni kuwa dogo apige kazi kwanza mambo ya kiinua mgongo bado sana tena sana. Pia kuna swala la kuaga dunia hapohapo katikati yawezekana kinua mgongo chake wakaja kufaidi wengine yaani mkewe, mumewe au watoto au ndugu zake wa karibu.