Leo nimetembelea hospital Moja nimekuta Kuna UHAKIKI wa kadi watu wanaulizwa taarifa za muhimu za kadi zao ,ni jambo zuri, cha kushangaza Kuna watu wanaambiwa walipe elfu ishirini Ili picha zao zibadilishwe ,hazionekani vizuri
Ikiwa ataenda kupiga picha akaleta akaenda hospitali akakutana na muhakiki mwenye shida ya macho Kisha akaambiwa Bado haionekani vizuri Kuna kagiza kidogo kabadilishe Tena na ulipe elfu ishirini tena.
Badala watoe kadi za kielectronic Bado wanakimbilia kwenye utambulisho wa picha ambao unaleta utata,kama mmezaliwa mapacha wote mnakuwa wanufaika.
Huu ni mradi kama vitambulisho vya wamachinga tu,watu wanatafuta hela wakimaliza wakale na kulala. Kama Wizara ya Afya Ina lengo kweli la kuondoa matumiza yasio sahihi ya kadi za NHIF, kwanini msitumie BIOMETRIC IDENTIFICATION