Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

Nilisema Huyu dogo si Bure mbona kaja juu sana na swala la Dowans? Nilionekana kituko...na bado kuhusu Makamba mdogo mtayaona mengi yalojificha...
 
Wakuu, nichukue kwanza fursa hii kusema kuwa nchii hii inahitaji mabadiliko katika nyanja zote haraka. Baada ya kusoma yaliyo andikwa na ndugu Makamba (MB) yamenisikitisha sana. Ooooh sirikali ya mkwereee !!! balaaaa tupu. Hebufuatilia hapo chini uone mwenyewe bilingo hiyo:

http://www.mwananchi.co.tz/taarifamaalum/makamba_waraka.pdf

Peopleeeeeeeeeeeeeees!... itamaliza adha hii.
 
Mkuu hebu kama unaweza kuweka hapa 1kwa1 wengne tunatumia simu.
 
kama hawa wana kila mmoja anaelekea upande wake, lini watakutana hata washauriane, nina mashaka sana.
 
Nimejaribu kupaste hapa nimeshindwa. Mods saidieni kwa wale wanaotumia simu.
 
Mbona imeandikwa taarifa ya Serikali, inakuwa Taarifa ya serikali wakati yeye siyo mtumishi wa Serikali au ndio utoto akikua ataacha, kutoka Bumbuli!
 
Duh...!. Kwa hoja hizi, mtoto mpe mchawi akulelee!. Ngeleja asije yarudia maswali magumu haya kwa JM.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…