Chimbukuru john
Senior Member
- May 17, 2016
- 135
- 44
Nimegunduaaa uwanjani leo wanaingia wachama wa na wafuwasi wake. Tena watakaokuwa na jezii za ushabiki wa yanga.
Unajua ni kwa nini??
Yanga vibali vyote au tiketi ziliandaliwa elfu 40 vya/za kuingiliaa na vyoteee vyapatikanaa yangaa..
Kwa hiyo uwanjani wataingia kwa kibali cha yangaa.
Inaumaaaa sanaa