Kiingereza safi cha mwanafunzi wa kidato cha nne

Kiingereza safi cha mwanafunzi wa kidato cha nne

Joined
Jan 19, 2013
Posts
35
Reaction score
11
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja:
SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ IS NOT SNAKE ONE BY ONE..√
 
duuuuh!! naomba water drink ili nitulize njaa iliyosababishwa na jokeli...!!
 
Hahah - Muheshimiwa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sio Kazi Rahisi, Kwasababu Haunyooki Moja Kwa Moja, hahahaha ametisha sana Lol
 
Back
Top Bottom