Kiingereza ni shida

Kiingereza ni shida

Za siku nzuri tu.Msalimie shost yangu halafu usimfungie ndani sana maana hata haonekaniki siku hizi

Hahahaaaa,almasi ilee,ngoja basi kesho nitamuacha aende sokoni,utamuona!Kipenzi Bantu lady unasalimiwa huku
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwiii, Huyu labda alikua anatuma kwa mama watoto wake!!! maana kama angekua anatuma kwa Waziri wa mambo ya ndani angeandika Ministry of interior au Ministry of home affairs
 
Aiseee ndio maana wengi wetu hatutaki mabadiliko shida kubwa sana hii
 
jaman waziriiii kuna barua yako huku jukwaan, kama uko bize mtume ps wako ailete kwako
 
1619533_10152437966102094_7679976783929905380_n.jpg

'
Lol

Po-mboo
 
Vipi Buji Buji, ule uzi wako wa wowowo yako ni laini, kubwa mno na inatikisika mpaka inakupa karaha; Kuna watu walikuuliza wewe ni male au female; jibu hapa
JF kuna vituko, Pia imeonekana kuwa High vampire ndie pia mwanakungumbala.
 
Kuna jamaa anaitwa Unachapwa Nao mna udugu?

Hapana sina undugu nae, mwanzoni nilijiita Chapa Kazi, sasa nikaona kuna mwingine anajiita Chapakazi (cheki mpangilio wa kuandika hilo jina), kwa hasira nikaomba kwa mods nijiite Chapa Nalo Jr, hata sijui nilimaanisha nini.
 
Back
Top Bottom