Kiingereza cha Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako akiwa MUHAS. Inasikitisha


Upo sahihi kabisa, kitaaluma ni mmoja wa vipsnga wakali sana wa Mathematics!
 

Undergraduate degree!
 
Kujua lugha na kuelimika au kuwa na maarifa ni vitu viwili tofauti kabisa
 

Pamoja na kiingereza chako. Usijitoe hapa, we are sailing in the same boat labda kama hukijui kabisa!
 
Kujua lugha na kuelimika au kuwa na maarifa ni vitu viwili tofauti kabisa
 

Munchen
 
Daahhhhhh Ila sawa, amejitahidi. Ni ngumu sana kunua kiingereza vzuri kama umesoma mtaala wa kiswahili kutoka primary hadi juu.

Tutumie tu kiswahili ktk hotuba zetu
Na tusilalamike pale wakenya na waganda wanapokuja kuchukua kazi za juu kwenye international corporates nchini!
Kama Taifa ni lazima tujue ni wapi tumefeli, kuendelea kutumia kiswahili kama lugha ya kufundishia ni sawa na kuukimbia ulimwengu unapokwenda
 
Kama ni kweli basi uchawi upo asee. Haiwezekani kabisa huyu akawa exceptional. Ni moja ya mawaziri wa hovyo kuwahi kutokea duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…