Kiingereza Cha Wabongo.

Wazungu hawawezi discuss huo ubovu wa lugha..wana deal na UJUMBE tu ila mi bongo kazi yetu ni kuanza na Lugha iliyotumika..utaskia ongea vizuri,andika vizuri,kaa vizuri,nk nk

Lugha sio yetu kwanza hiyo
 
Sio yetu kweli, Sasa kwa nini wanang'ang'ania kufundisha kiingereza mashuleni.
 
Sio yetu kweli, Sasa kwa nini wanang'ang'ania kufundisha kiingereza mashuleni.
si ili tupate cha kuombea kazi kama hicho kilichoandikwa hapo juu...Kinatosha kabisa kujua zaidi ni mbwembwe tu

Muhimu ujue kuomba MAJI,CHAKULA na ukibanwa mavi ujue kuomba kwenda chooni...Mengine yatakuja huko mbele ya safari.
 
Kiingereza Cha Wabongo kwenye maandamano.

"STRUGG" instead of "STRUGGLE"

"YOU FILL PROUD" instead of "YOU FEEL PROUD"View attachment 1192238

Kiingereza safi saaaana, end maiself Ai fiil praud tu sii dhoz wimen widh sach banaz bearing ze wedz, viva Watanzaniano, πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€£πŸ€£
 
Kwenye subtitle za bongo movies ndio balaa kabisa.

Ujinga mtupu.
 
Kwa kukodiwa usafiri na posho juu 20K
 
Duuh kweli Lugha hii imekuwa balaa kwetu siku zote, kwa nini lakini?. Bora wangeandika kiswahili tu maana kimekubalika Ki SADC

Kiswahili ndiyo zaidi kwa mmakosa...afadhali kiingereza..angalia Kiswahili cha humu JF ndipo utajua tatizo lililopo.....tunakuwaga ...kusajiri...uharari...jinzia...kuroga...ukuje huku....masaa ya kazi....
 
Watz wengi kiswahili wanakijua vizuri.Sema sometimes wanafanya makusudi kama swaga fulani tu kutumia baadhi ya maneno kimakosa Kama hayo uliyoyaorodhesha.
 
Lakini si wangeandika kwa Kiswahili tu na wangetuelewa maana si kimeshakubalika kama lugha ya SADC!
 
Walioandika hayo maneno ni watu na akili zao na wamekosea kwa maksud ili tudhani kwamba yameandikwa na hao waandamanaji wa hali duni ukiangalia mwandiko tu utalijua hilo
 
Nasikia mkuu DAB ndie aliye draft hilo bango!
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Walioandika hayo maneno ni watu na akili zao na wamekosea kwa maksud ili tudhani kwamba yameandikwa na hao waandamanaji wa hali duni ukiangalia mwandiko tu utalijua hilo
Hii ina make sense, kunaweza kuwa na ukweli fulani ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…