Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Tupac syndrome kapata kwa madai yake,ona lile tambala pale kichwani kalifunga dizaini ya Tupac.
Itakua Salaam na Babutale wamefanya yao.
Babu tale sijui aliongea nini USA sidhani kama anajua hata kusema hiyo I garra fyoooo😂😂
 
Umenichekesha eti I garah go watu mna maneno sana.
Sema mkuu kuna kale ka msemu eti "Kingereza bila pesa ni sawa na kupiga kelele" RIP Langa
 
Huo ni wivu tu. Hata akiongea cha Kizulu wewe kina kuuma nini? Si shabiki wa bongo fleva. Wala sishabikii hao vijana wanaoimba bongo fleva, lakini siwezi kuwasema tu mradi kuwasema. Mengine sioni hata sababu ya kuwasema. Ni wivu tu unawasumbua baadhi ya watz. Tujifunze kuheshimu maisha ya watu.
 
Reactions: Qwy
Mhhhh
 

Yu garrah go
 
Wakati fulani Wema akikuwa anamfundisha kiingereza sanifu siku hizi anajifunza mwenyewe Cha Snoopy Doggy Dog
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…