Kiingereza bila pesa...

Kiingereza bila pesa...

Ni asili yetu wanadamu, kina dada to be precise; ukimfeel mtu asipoonesha ushirikiano ili upone (usiumie) basi unamtafutia kasoro hata kama hazipo.
 
Kwa hiyo ni kama kipara bila pesa ni sawa na kovu..

Kuna mdada mmoja hajui kingereza hata cha kuombea maji ila anagegedwa na jamaa mmoja expart kutoka Ghana ambaye hajui Kiswahili anazungumza kiinglish tu. sasa watu huwa wanajiuliza wanawasiliaje wakiwa wanaingiziana vikojoleo!!
pesa ni kila kitu
 
Kuna mawili niliyoona hapa, kwanza inawezekana jamaa anatumia Lugha kama defensive mechanism na usishangae baada ya kitambo maneno yakakoma na ndege mmoja akawa tunduni, pili hawa wadada wanajishuku hasa kama cha kwao full the, that, which nyingi sasa hapa wanakuta mgeni anashusha lugha utafikiri Rooney au lampard pale U.K ni wazi wanatoa hisia za wivu.
 
Ni asili yetu wanadamu, kina dada to be precise; ukimfeel mtu asipoonesha ushirikiano ili upone (usiumie) basi unamtafutia kasoro hata kama hazipo.

Kuna rafiki yangu aliniambia siku moja ukimuona msichana anamkandia sana mwanaume bila sababu ujue kuna kitu......
 
Kuna mawili niliyoona hapa, kwanza inawezekana jamaa anatumia Lugha kama defensive mechanism na usishangae baada ya kitambo maneno yakakoma na ndege mmoja akawa tunduni, pili hawa wadada wanajishuku hasa kama cha kwao full the, that, which nyingi sasa hapa wanakuta mgeni anashusha lugha utafikiri Rooney au lampard pale U.K ni wazi wanatoa hisia za wivu.

Sidhani kama ni difensive...maaana hawa wadada hapa mtu akiongea kiingereza hata kama ni kichaa wako radhi wampe papuchi....ila sijui huyu imekuaje.
 
Kuna mdada mmoja hajui kingereza hata cha kuombea maji ila anagegedwa na jamaa mmoja expart kutoka Ghana ambaye hajui Kiswahili anazungumza kiinglish tu. sasa watu huwa wanajiuliza wanawasiliaje wakiwa wanaingiziana vikojoleo!!
pesa ni kila kitu

Baba, watu wanatongoza mabubu na wanaenda kupiga ati....huyu anayetoa maneno sio shida sana...ila tatizo litakua kwa binti kwenye kuomba pesa akiwa na shida...nafikiri hapo ndio mgana amempendea huyo binti maana hata akimpa buku mbili hawezi kumchallenge kwamba haitoshi. Hahahaha..
 
Sidhani kama ni difensive...maaana hawa wadada hapa mtu akiongea kiingereza hata kama ni kichaa wako radhi wampe papuchi....ila sijui huyu imekuaje.

Basi hapa napata picha kwamba wamerusha ndoano wakaambulia kuvua chura, sasa wanataka kujifariji kwa kashfa. Walidhani wanaume wote baba yao mmoja.
 
Huyu kijana katufariji kweli wanaume wenzake....maana kila akija mgeni aongeaye kiingereza basi woote wa zamani tunaonekana mafala......ilikua inatuuma kweli...nafikiri wengi bado wanashangaa imekuaje this time huyu jamaa bado hajagongamtu....
 
Heheheh...kwa kweli huku duniani raha kweli.... hawa mabinti hapa ofisini wanamkandia kuna dogo kaajiriwa hapa kama mwezi hivi sasa...huyu dogo anagonga ng'eli mda wote, mpaka raha yani ......ila hawa mabinti hapa ofisini wanammaindi eti wanaambiana ''Kiingereza bila pesa ni sawa na kupiga kelele tu'' na mwingine anasema ''inahu''
Kwa kweli sijui nini kimewapata maana walikuaga wanatoa tundi kwa english speaking dudes tu....siyaamini masikio yangu. Dah!
Aisee..yaani kila nikikumbuka naenda kuchekea chooni. Unaweza fikiri nimeshikwa na tumbo la kuhara jinsi ninavyopiga ruti za toileti, kumbe kila nikikikumbuka kicheko kinanijia . Aisee.

yah....good ladies.....soo many many english....thin wallet....why......
you bring english with fat wallet.....blah blah in english not allowed......
 
Preta hata wewe.......kwa hiyo lugha sio ishu.....wallet ndio inatakiwa iongee...hata kama ni bubu lakini kama wallet imevimba papuchi unapata.
 
Kuna rafiki yangu aliniambia siku moja ukimuona msichana anamkandia sana mwanaume bila sababu ujue kuna kitu......

And he was right, pls usichunguze ninamkandia nani sana humu JF. LOL
 
Back
Top Bottom