Heheheh...kwa kweli huku duniani raha kweli.... hawa mabinti hapa ofisini wanamkandia kuna dogo kaajiriwa hapa kama mwezi hivi sasa...huyu dogo anagonga ng'eli mda wote, mpaka raha yani ......ila hawa mabinti hapa ofisini wanammaindi eti wanaambiana ''Kiingereza bila pesa ni sawa na kupiga kelele tu'' na mwingine anasema ''inahu''
Kwa kweli sijui nini kimewapata maana walikuaga wanatoa tundi kwa english speaking dudes tu....siyaamini masikio yangu. Dah!
Aisee..yaani kila nikikumbuka naenda kuchekea chooni. Unaweza fikiri nimeshikwa na tumbo la kuhara jinsi ninavyopiga ruti za toileti, kumbe kila nikikikumbuka kicheko kinanijia . Aisee.