Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

Hahaaa....!!
Watu humu ndani mna vituko khaaa mbona mnaulizia hali ya faru ndugai kwani mmeambiwa israel anataka kupaa nae au???

Na itapendeza sana akipaa nae
[emoji16] [emoji16]
 
Hahaaa....!!
Watu humu ndani mna vituko khaaa mbona mnaulizia hali ya faru ndugai kwani mmeambiwa israel anataka kupaa nae au???
Hawa faru ni adimu duniani mnataka mmtoroshe? uyo Israel hamjui JPM athubutu aoene,JPM hajaribiwi

Hatutakubali kabisa faru wetu achukuliwe uyo faru tumemtunza kwa kodi zetu yule faru mwingine alipokufa mlifurahi bado mnamtaka na huyu
 
Hapo alifeli sana. Hawa ma socialmedia activists (keyboard warriors) ni wazinguaji tu. Ni kama yule wa tarehe 26 [emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…