Kiherehere champonza Steve Nyerere, ashushuliwa na mzazi mwenzake na Joti

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
268,282
1,096,070
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika mtandaoni maneno yaliyomuibua mama mzazi wa mtoto wa joti. Maneno ya steve yanaashiria kuwa mama mtoto hajui malezi bora kwa mwanae ndio maana joti hakumuoa
Post ya steve


Post ya povu la mama mtoto
 
 
halafu alivyo hajui kiswahili
"eti tumekuwa tukikariri unayezaa naye ndio mama bora kumbe sio kweli"
so inamaana kwamba wanawake wote mnao zaa nao sio mama bora, yaani hata huyu aliyeolewa kama akizaa na joti naye atakuwa sio mama bora!
alipaswa kusema sio mara zote ni ukweli?
 
Ntarudi baadae ngoja nimtafutie lazaro Nyalandu kiti cha kulumzika kwanza.
 
steve ndiye mwalimu wa uzalendo Tanzania na msemaji mkuu wa ccm academia kwahyo ukisema akili yake ni fupi kama yeye sasa hao wa chama chake waliompa jukukumu kubwa tuwaiteje..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…