Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,078
- 1,094,736
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika mtandaoni maneno yaliyomuibua mama mzazi wa mtoto wa joti. Maneno ya steve yanaashiria kuwa mama mtoto hajui malezi bora kwa mwanae ndio maana joti hakumuoa
Post ya steve
Post ya povu la mama mtoto
Post ya steve
Post ya povu la mama mtoto