Kiherehere cha Mbweha na uchaguzi mkuu.

Kiherehere cha Mbweha na uchaguzi mkuu.

Hakuna cha Kenge, mbweha, nk.
Wananchi hawadanganyiki tena.
No Reforms No Election
 
NO REFORMS NO ELECTION.
Screenshot_20250605_121725_Pinterest.jpg
 
"Mbweha aliposema, 'Pasipo mabadiliko hakuna uchaguzi,' aliulizwa: 'Na pasipo ukweli, mabadiliko yanatoka wapi?' Akakimbia kwenda kugombea tena." - Alloyce, P.R.
Hao ni mbweha na uchaguzi wao!
Ila binadamu raia wa Tanganyika wanasema No Reforms No Elections!
 
Back
Top Bottom