KIGWANGALLA: Serikali isipofanya kweli NAJIUZULU

Anatishia tu,hana jeuri hiyo.amini amini nawaambia wana JF hawezi kujihuzulu huyo,anatishia nyau na kutaka kugain political popularity
 
Kinachonishangaza mimi ni kwamba huyu mh. khamis angekuwa mp wa chdm kisha akatoa kauli hii mngemshangilia hata ushuzi wake mngeita pafyumu! kwa7bu tu amekuwa ccm basi hamkubali hivi nani kawaambia kuwa UZALENDO NI M2 KUWA CHADEMA NA C VINGINEVYO?
 
Sijaelewa anamwadhibu nani kwa kujiuzuru? kwani yeye amechaguliwa ubunge na serikali au na wananchi wa Nzega? na anaiwakilisha serikali au wananchi?
 
Kigwangala umeonja selo mara 1 tu unalalamika hivyo? Mbona wakati Tundu Lissu anaeleza maovu ya polisi na uonevu wao kwa raia mlimzomea na kumpa majina kuwa kazi yake ni kulalamika tu? Ulidhani kutetea wanyonge ni kazi rahisi? Huwezi kuwa CCM ukatetea wanyonge. Wazee wa intelijensia watakutia kashkash tu maana unawachanganya wanadhani wewe ni chadema. CCM hakuna mambo hayo. Welcome to the real world!
 
Mpuuzi mkubwa huyu, kwanza ajiuzuru jina la mwenzie arudie jina lake la tohara.
 
Back
Top Bottom