Dr Kigwangalla: Tatizo Watanzania hatupendi kuwa na Viongozi wanaosema Ukweli tumezoea Kudanganywa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,043
Mbunge wa Nzega Vijijini na Waziiri kipenzi wa Shujaa Maguful enzi za awamu ya 5 Dr. Kigwangalla amesema tatizo la Watanzania hawapendi kuwa na Viongozi wanaosema Ukweli.

Kigwangalla alikuwa akifafanua kuhusu video clip yake enzi akiwa Waziiri wa Utalii na Maliasili akiwa anaelezea Waarabu walivyovamia Loliondo kienyeji.

Kigwangalla amesema Wabongo huwapenda Viongozi wanaowadanganya.

Amezungumza huko Mtandao X.

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
 
Kumbe bado wengine wapo hawajahama
IMG-20230910-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom