"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"
"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"
"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"
"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"
"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"
Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.