Kigwangalla, hakikisha kila kampuni kubwa ya utalii(Tours Companies) inapewa lengo la kuleta watalii 10 Chato, ikishindwa ipewe msukosuko

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
Nashauri kwamba,njia mojawapo ya kuitambulisha mbuga hii ni kulazimisha kila kampuni kubwa ya utalii ipeleke japo watalii kumi kwa mwaka huko Burigi- Chato.

Kama kuna kampuni 2000,watalii 20000

Kampuni ikigoma vyombo vya dola,TISS,TRA,TTB,Polisi, Wizara ya Maliasili na Biashara ziwahenyeshe either kwa kuwapa madai mazito ya kodi,kutishia kuwanyima leseni,au wakurugenzi wake wahojiwe kila siku na vyombo vya dola

Nawasilisha

Kigumu chama cha mapinduzi!!!
 
Ujinga ni pamoja na huu hapa.
 
Mmhhh kila mtu anatoa povu humu

Kisa chato

Dodoma haiongelewi kwa jinsi serikali alivoipa hadhi na kipaumbele ya maendeleo

Lkn chato
povu za kumwaga
 
Kigumu chama
 
Hehe hizo kampuni si za serikali. Wakigoma hao hata mia kwenye utalii hamtopata.
Si kila kitu mna force
 
Dodoma ni capital city so hakuna tatizo. Sababu ndio mji mkuu wa serikal. Lazima paendelezwe.
Ila chato pana nn cha maana sana? Mpaka papewe kipaombele.
Mmhhh kila mtu anatoa povu humu

Kisa chato

Dodoma haiongelewi kwa jinsi serikali alivoipa hadhi na kipaumbele ya maendeleo

Lkn chato
povu za kumwaga
 
Ushauri mzuri sana hatuwezi kukosa watalii chato huku tuna kila kitu.Ile tv ya wanyama tbc lazima tunataka vipindi maalum vya kuitangaza mbuga hii.
 
Mmhhh kila mtu anatoa povu humu

Kisa chato

Dodoma haiongelewi kwa jinsi serikali alivoipa hadhi na kipaumbele ya maendeleo

Lkn chato
povu za kumwaga
acha kufananisha dodoma na mambo ya ukanda na ukabila, DODOMA NI MJI MKUU WA CHAMA NA SERIKALI TANGU ENZI ZA MWALIMU, NI MJI MKUU KIKATIBA, YANAYOFANYIKA DODOMA YANASTAHILI NA TENA YALICHELEWA! KWANINI CHATO?
 
MAVI YAKIBANA SIO LAZIMA UNAWE MAJI HATA TOILET PAPER NAYO N MSAADA
 
Ahahahaaaaa usije shangaa wakalibeba hili wazo lako wenye Tanzania yao
 
Wataletwa wengi,mm ningewashauri miezi 6 ya mwanzo kusiwe na kiingilio cha kuingia kwenye hiyo hifadhi ya Burigi,Chato hii ingesaidia watu wengi kufika na kuwa mabalozi wazuri kwa wengine.
 
Na kila Mkuu wa Mkoa ashurutishwe kulazimisha wakazi wa mkoa wake kwenda Mbuga ya Burigi kwa ajili ya utalii wa ndani. Napendekeza kila mkoa lazima utoe watalii 10,000 kila mwaka, na mkoa utakaoshindwa kufikia lengo basi ma-RC na ma-DC wake wakarundikwe Lugalo na kurushwa kichura chura mwezi mzima na baada ya hapo, WATUMBULIWEEEE!!! Lazima tuhakikishe hadi 2020, Chato inaipiga bao Arusha kama lango la utaliii.

Lakini RC wetu wa Dar asisumbuliwe ktk hilo manake ana mambo makubwa na mazito ya kufanya.
 
Ahahahaaaaa usije shangaa wakalibeba hili wazo lako wenye Tanzania yao
 
Tukiacha utani, hayo makampuni yatatii hilo bila shuruti na pia yatajiongeza. Fursa hiyo itachangamkiwa mpaka kugombaniwa utashangaa. Wanaopinga ni wa mitandaoni tu. Na makampuni ya Arusha na Kilimanjaro utakuta siku ile ya ufunguzi yalifungua office zao Chato.
 
Vile vile nashauri mtalii akija zaidi ya Mara bila kwenda Burigi anyang'anywe visa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…