Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Kabisa,Msigwa alisema hata prof na mtoto wa darasa la pili wanakuwa hawana tofautiKila mtu anatetea ugali wake!
Daktari mzima anajitoa ufahamu!Mijitu ikiwa ccm elimu zao hubakia mifukoni nakwenye makabati
Hujiulize kwa nini viongozi wanaongoza kwenda kutimbiwa nje badala ya kutibiwa ndani? hatuna MD, % ni wababaishaji.Daktari mzima anajitoa ufahamu!
Hahahaha!Kabisa,Msigwa alisema hata prof na mtoto wa darasa la pili wanakuwa hawana tofauti
Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya jambo lolote la aibu bila kujali muktadha.Hapa kigangwala anasema uchichozi unaweza pimwa kwenye mkojo,kwamba kuna kemikali ukizitumia husababisha uchochezi!
Hapa anafananisha watu na wanyama,basi naye kipimo cha mkojo kinamuhusu,huenda kemikali ndio zinamfanya asiheshimu binadamu wenzake!
Hao ndiyo aina ya viongozi wa dreva
Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya jambo lolote la aibu bila kujali muktadha.
Na kilichoulizwa ni kuhusu upimwaji wa mkojo na ishu ya uchohezi kwa maana ya kwamba mtu anaweza shiriki kutoa maneno ya uchohezi kutokana na kua ametumia madawa. ..that means mentally driven by alcohol ...or other addicts
Sasa watu mnshishindwa kutenganisha majibu ya Dr.Kigwangala na ishu ya Tundu Lisu.
Dr.Kigwangala amejibu kipimo cha mkojo kinahusiana nn na matumiz ya dawa za kulevya na sio kipimo cha mkojo na kesi ya Tundu Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app

Kiwango cha elimu si jambo la msingi hapa lkn kusema uchochezi unaweza kupimwa kwenye mkojo hii naamini only in Tanzania!Halafu neno UCHOCHEZI lina tafsiri gani kwaTanzania?Ningependa wataalam wa BAKITA wake watoe tafsiri.elimu zenye utata....
1. januar - f6
2. mwiguru - jina feki
3. makonda - cheti cha mtu
4. kigwangala -jina feki
5. jpm - phd
6 mbowe - f4
aina ya wanasiasa wetu.. ndio maana profesa kaamua kuwa msanii....