Kigwangalla afunguka...

Kigwangalla afunguka...

Dr. HK unasubiri kitu gani, hamia aritel, CDM ni mpango mzima. Kule maendeleo ndiyo moja ya hoja za msingi.
 
Waache watoane meno chama kinmfia jk,nape na kinana wote sasa wamegeuzwa ndo mizigo nawaonea huruma wakajitesa kula wali maharage na wanaachi eti upendo wakakwea treni mpka dar mwenzao aliyechemsha un kaula uwaziri,hoja zao kapuni shenzy type jamaa hana ubia na mtu,muulizeni mzee wa monduli na jamaa wa bumbuli hivi yupo makamba
 
Hivi ni mimi nasoma huu uzi au naota??
Ina maana simiyuyetu hajapita hapa??
Angetufafanulia zaidi kuhusu mambo yao ya kigwangwala
 
Last edited by a moderator:
Kaka amini nakuambia mtu aliyesoma na kukomboka siasa za Tanzania ni pasua kichwa saaaanaaaa. Ndio maana wengi hawataki kabisa siasa haswa za kufungamana na vyama!!!!!!

ni kweli

nadhani siasa zitatengemaa tutakapokua na wagombea binafsi... na ndio maana ccm hawataki

many businessmen and academics may join politics na kuifanya iwe serious wakiruhusu mgombea huru

siasa za vyama ni kukubali kutumia akili ndogo kufanya maamuzi makubwa
 
Elimu ya kibongo tabu sana. Mtu anasoma anakuwa dokta, anachanganya madawa huko na kusoma business, akiamua kuandika credentials zake hapa zinajaza ukurasa mzima. MP, MD, MBA... uchafuuchafu gani wa cerrtification sijui ndo usiseme, unaogopa mwenyewe unasema huyu msomi kasoma.

Anaandika kitu, hata kuanza kwa kukupa background tu ili uelewe anashindwa.

Sasa kwa mtu ambaye hajamfuatilia Kigwangallah akisoma hii habari atabaki na maswali kibao. Kigs amefukuzwa uanachama? Anataka kufukuzwa uanachama? na nani? Kwa nini? Kwa nini ameandika yote haya?
 
huyu ni mhuni kama wahuni wengine,msomali bashe na kundi la lowassa wamemkalia kooni huyu mwizi wa jina alilosomea,fukuza fisadi wa elimu huyu,hana tofauti na samwel luhanga.
 
Dr. HK unasubiri kitu gani, hamia aritel, CDM ni mpango mzima. Kule maendeleo ndiyo moja ya hoja za msingi.
hili galasa tu mkuu haliwezi kupokelewa cdm,hulisikagi bungeni linavyotapikaga pumba,acha walibalase likalime pamba.
 
M4C - OPD Ndio Talk of the Town (Habari ya Mujini) Kwa Sasa
 
Wamfukuze haraka kigwangara aje chadema tuwamaliza magamba

Hawezi kuja CHADEMA huyu maana CCM watamfunga jela

Kumbuka ALIKWAPUA billion of shillings toka BOT kwenye ile scandal ya bail out ili akaokoe zao la pamba!

Pesa hizo hajalipa na hamna matumaini kama atalipa!Wenzake akiwemo Said Mkumba(Sikonge)atapeleka hoja bungeni kudai hela hii siku tu kaondoka CCM
 
Naona kuna majeshi yametumwa kuja kumshughulikia Kigs sasa...kazi ipo kwa wazee wa nyama za Monduli..teh teh teh teh! Al-shabaab at work!
 
Hamisi ana ideas nzuri ila hajui kuweka hoja vizuri ndio maana anagombana na watu wengi

I wish him well

Kweli mkuu kuna mambo mengi mazuri anayo huyu HK but kupanga na kujenga hoja ni mgogoro kwake that is why haeleweki anachota ni kitu gani.
 
Wana JF naona Kigwangara kamaliza kwa kusema (Wakatabahu) ndiyo nini?. naomba nisaidiwe

Wakatabahu ni neno linatokana na lugha ya Kiarabu.

wa = na (and)
katab = kuandika (write/wrote)
hu = mwanamme (he)

Therefore:

WA-KATAB-A-HU = AND HE WROTE IT (Imeandikwa na)
 
yawezekana ni mpiganaji ila mahali sahihi pa kupigania si ccm.
 
Yuko vizur ila hao jamaa anaofanya nao kazi sasa shida tupu.... Nadhan hata hawa madiwani wetu wawe walau na form six. Maana kama mbunge ana masters au phd kufanya kazi na diwani aliyeishia std iv au vii ni kazi...
 
Back
Top Bottom