Kigwangala alia na serikali

Amekamatwa na polisi 'AKITETEA DHULMA na UKANDAMIZAJI'
Hapa nashindwa nimsaidieje mtu huyu. Nani alimtuma kutetea vitu hivyo? Si angetetea haki na uhuru? Lakini ndiyo mambo wanayofanya magamba wote, si ajabu kwa wao kuyatetea!
 
Kutetea Dhurma na udharirishaji? Ungeanza kwa kuasafisha dhurma uliyomfanyia yule uliyechukua nafasi yake na jina lake kwenda shule, na ungepisha nafasi ya Ubunge kwa wale walioshika nafasi za juu kihalali. Hapo ndipo pa kuanzia na siyo huko migodini na ushukuru Polisi wamekustahi.
Ningekuwa mimi nimeshika bunduki siku hiyo ningekuchapa risasi ya bega ili iwe rahisi kuandika maelezo kuwa ulikuwa unakuja kunishambulia na gongo wakati nimeshika silaha au ya **** halafu najipigiza kicha ukutani ili report isomeke kuwa ulinipiga jiwe na kuanza kukimbia ikabidi nikuchape ya ****.
 

Unajua maviongozi ya CCM ni manafiki kweli...sasa hapo analalamika nini? Lenyewe linaingia kwenye vikao vya juu vya chama halitoi mawazo chanya,halafu likipigwa linalalamika..........liache unafiki hili jamaa!!!
 
Unajua maviongozi ya CCM ni manafiki kweli...sasa hapo analalamika nini? Lenyewe linaingia kwenye vikao vya juu vya chama halitoi mawazo chanya,halafu likipigwa linalalamika..........liache unafiki hili jamaa!!!

kigwangala bhana!atawahadaa wanzega wenzake!
 
Hivi umeshapita mwezi tokea aliposema wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni kupitisha sheria ya kudhibiti wananchi wanaotetea haki zao???
 
Naona kuna ID's kadhaa ziko likizo kwa sasa!!!!!! Any links??????? tehe tehe tehe!!!!!!!!!
 
Kama Hamis anaamini kuwa kuna haki inavunjwa ana njia tatu za kawaida:

a. Kwenda mahakamani
b. Kuleta hoja Bungeni
c. Kuleta mabadiliko ya sheria au mswada wa sheria mpya

Sielewi kwanini mbunge wa chama tawala anatumia siasa za migongano wakati angeweza kutumia chama chake ambacho ni tawala vizuri tu?
 

Mkuki kwa nguruwe!!!...alikuwa wapi siku zote hizi ili atoe kauli kama hii dhidi ya mauaji ya Watanzania wasiokuwa na hatia waliouawa na hii Serikali dhalimu ya magamba kule Arusha, Igunga, Tarime na wengine kukamatwa na kubambikiwa kesi zisizo na kichwa wala miguu!!!? Ndio ayaone tuyasemayo kuhusu uonevu na dhuluma kubwa ndani ya Serikali hii ya magamba.
 
 
My MP HKigwangalla
  • kabla hujawa mbunge ulijua sana uzuri wa chama unachokipenda leo wasema nchi hii imejaa dhuluma hapo je unawashauri vipi wasio wanachama wa chama chako wajiunge nacho au la
  • unajua sheria za kurectfy matatizo je kufanya hayo uliyo fanya uliona ndiyo sulihisho la kisomi au lilikuwa ni jambo la mwisho kuapply baada kushindwa ktk hatua za awali kushindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…