Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
ipe maneno mwenyeweView attachment 80397
Amenishangaza jinsi anavyonyonga hilo shada...........mwenzetu kweli huyu????????
Huyu wa upande wa kulia analilia nini?ipe maneno mwenyeweView attachment 80397
Umasikini ni mbaya sana.
Huyu wa upande wa kulia analilia nini?
Wewe si unakonda kwa ajili ya mazoezi kuuweka mwili sawa? Huyu manyama uzembe tuuAsilie mchezo we unakonda afu ye anenepe, hata me ntalia