Kigugumizi nouma

Kigugumizi nouma

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Jamaa 1 mwenye kigugumizi alipewa muwa na jamaa yake... Sikia ilivyokuwa!Jamaa: karibu muwa!Kigugumizi: aa...aaa..asante! La.,lala..lakini mi..mimi., si,. Siwezi ku..kuku...----....----...kumaliza. La...lala... Lablab... Labda..tuu..tutu...tukatii.. Tukatiane, maa.. Maana n..nna uboo...uboo...ubovu wa meno!
 
Back
Top Bottom