Kigoma yaanza kufunguka

Zitto yupo dar anaangalia pornography na kuoa wajane hovyo huku akiendeleza ujinga wake wa kuihujumu serikali
Unataka akuoe wewe? Ni wivu tu!

Sasa wajane watafarijiwa na nani???

Ulasaze....
 
Uko sahihi
 
Unachosangaza unasahau hata Malaysia walikuwa kama sisi bado huoni tatizo, nakusikitikia sana, ukikua utajifunza kama tayari ni mtu mzima pole muda umeshakupita hutaelewa tena.
Hata ulaya walipokuwa wanajijenga walifunga mkanda! Tatizo lako unaangalia leo tu. Wakati ukijenga familia mfano nyumba, lazima familia chamoto ikipate. Huwezi ukala raha wakati unajenga nyumba mfano. Kwa nchi ukitaka iendelee, kuna sekta zitakosa pesa mfano huwezi kujenga miundombinu ukapandisha mishahara. Unanisikitisha kwani inaonesha bado hujakomaa
 
Achana na Ulaya ambao walianza zamani, nimekupa mfano wa Malaysia tuliokuwa level moja miaka ya 80 wao waliwezaje.
 
nasikia pia watu wa kigoma walio na mawazo tofauti na jiwe wanaambiwa sio watanzania
 
kwani Haya unayoyajibu we ni serikali? Kwa hiyo serikali haijui kama hicho kidogo kidogo ni kupiga marktime tu huku pesa inapotea?
 
Potential ya kigoma ni kubwa mno, shinda ni hali ya mazingira katika uwekezaji wa kigeni(FDI) kaa tz tungekuwa na sheria rafiki za uwekezaji ka za rwanda au ethiopia, kigoma baada ya miaka 5-7 hivi, ingekuwa mbele sana, haswa katika uwekezaji wa LOGISTICS, and AGRICULTURE(fishing, coffee,palm oil, rice and maize)
 
Hapo umenena tena kisomi kabisa
 
Huo ni ukweli mkuu kigoma kwa sasa sihaba inafunguka
 
Pamoja na waziri wa fedha kutoka kigoma bado hsjausaidia sana mkoa wetu kupata maendeleo zaidi yahayo japo tunapaswa kushukulu kwa kilichopatikana
 
Hapo umenena tena kisomi kabisa
Bro ita a place niko na desire kubbwa mno ya kuwekeza, lakini kinachonivuja moyo ni hii serikali, haielweki kabisa, mara kubadilisha sheria, mara kuteka na kutia hofu, mara hata wakuu wa mikoa na wilaya kuweka wawekezaji ndani sababu ya kodi ila hio sio kazi yao, hio ni kazi ya TRA, oohhh how i wish things can better in tz, kigoma inaweza kuwa logistics hub kubwa hasa, na pia mazao kaa palm oil, fish na maize hizo zinaweza kuzwa na kuuzwa huko haswa European union, tatizo ni sheria na utwala baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…