Kigoma wampokea Mkuu wa Mkoa kwa Mabango eneo la Urusi

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,865
image.jpeg


Hili ni eneo la Urusi,moja kati ya maeneo "tatanishi kisiasa" katika Mkoa wa Kigoma.Eneo hili analikumbuka sana Mzee Yusufu Makamba wakati huo Katibu Mkuu wa CCM,aliwahi fika na kugawa "mshiko" ili wazee wachane bendera za upinzani na kupandisha ya chama...Wazee wakal mkwanja,Makamba Snr alivyowapa mgongo wakashusha ya kijani wakapandisha ya kwao

Sasa naona wamempokea Mkuu mpya wa Mkoa na kauli yake ya kuzuia "Pool Table" na "Bao" wakati wa asubuhi,safari hii mkuu wa Mkoa Kigoma ni Mwanajeshi...Kigoma na Mjeshi uso kwa uso
 
Back
Top Bottom