Kigoma waikataa CHADEMA, wananchi wengi kususia mkutano

Mtoa mada una ubahili wa ukweli, why ujihusishe na chama mfu kama unavyodai?,acha democracy itamalaki hapa nchini, nchi hii sio ya ccm pekee, fanya kulichokupeleka kigoma, mambo ya chadema achana nayo
 
CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.

Wanaenda huko kuonyesha Helicopter waliyonunuliwa na CCM. Zaidi ya hapo ni yule "Kivutio" wao WanaCHADEMA kwenda kumtembeza mtu aliyepigwa shaba 16,au 32, au 38 ikitegemea wapi wanayasema hayo.

Utuletee taarifa kamili wasije wakatuhadaa na picha zao za Akili bandia
UONGO hauna shahidi
 
Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea...
Upo sahihi, nimeongea na wazee wa hapo mwandiga wamenifahamisha ukweli huo huo.
CHADEMA ni wabaguzi. Hawana ajenda. Yaani sio tu ni wafilisi, bali wamefilisika Kisiasa.
...
Nakusalimia tu mkuu.
Sijakosea, nimeamua nikusalimie kwa mkupuo maana mimi ndiyo naamka na wenge
 
Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea.

Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi wameonyesha kuwa busy na shughuli za kiuchumi.

Wapo wananchi wengi ambao wamesema hawatahudhuria kabisa huo mkutano. Hili ni pigo kwa chadema kwa kuwa walitegemea kuungwa mkono Ila matokeo yake wananchi wamewakataa.

Hali ikiendelea hivi kuna hati hati ya mkutano kuhairishwa, mkutano ni watu. Sidhani kama.chadema wanaweza kukubali kufanya mkutano kwa watu kiduchu.

Nitawajuza kila kinachoendelea na picha na video nitawaletea, maana kumekua na tabia ya kutumia picha za 2015 za lowassa.
Kigoma yote ni wakongo na warundi. Wakiishabikia chadomo, serikali ya chama cha nyinyiem itawapiga persona non grata ya saa mbili warudi makwao.
 
Kigoma yote ni wakongo na warundi. Wakiishabikia chadomo, serikali ya chama cha nyinyiem itawapiga persona non grata ya saa mbili warudi makwao.
Na Zanzibar ni ya Waarabu wa Oman ndiyo maana mnashabikia bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa Dubai ili mpate uhalali wa kuifanya Tanganyika kuwa nchi ya Kiislam.
 
Back
Top Bottom