Pichani ni Viongozi wa Chadema Mkoa wa Kigoma wakiwapokea Viongozi na wanachama wa ACT wazalendo walioamua kujitoa katika chama chao baada ya kuchukizwa na kitendo cha Mwenyekiti wao wa Taifa na viongozi wao wa Kitaifa kukubali uteuzi wa Mkiti wao kuwa Mkuu wa Mkoa na kutekeleza ilani ya CCM.
Wamesema kitendo hicho ni kukisaliti chama, miongoni mwa wanachama hao kuna wengine wemeamua kuachana kabisa na siasa.
Wamesema kitendo hicho ni kukisaliti chama, miongoni mwa wanachama hao kuna wengine wemeamua kuachana kabisa na siasa.