Kigoma: Uteuzi wa Mgwhira wafanya baadhi ya Viongozi wa ACT wajiunge na CHADEMA

kwa kweli ni zaidi ya usaliti. eti mwenyekiti wa chama pinzani anakubali kwenda kutekeleza ilani ya chama asichokiamini itikadi yake mweh.
 
Hiyo ni sawa na kenge kuogopa mvua na kukimbilia mtoni, huu ni mchezo tu wakuigiza kama bongo move
 
Back
Top Bottom