fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Ulichokiandika kinadhihirisha pasipo shaka uwezo wa ubongo wako jinsi ulivyo.Si sahihi na haitakuwa hivyo hata siku moja kuchukua kosa la mtu mmoja na kuliwianisha na jamii nzima atokopo mtu huyo.Makosa ya Zitto yanawezakuwa ni yake yeye kama Zitto na si makosa ya wanakigoma wote kwa ujumla.Unavyowatukana hivyo at the same time unataka uungwaji mkono wao nini kitatokea? Jamani siasa si vita wala ubaguzi kiasi hiki,na pia tujifunze kutoa maoni yanayojenga na si kubomoa.Kumbuka katika siasa chochote kinaweza tokea wakati wowote,acheni dharau zenu.
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.
Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.
Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.
Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.
Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.
Off course, ZZK is gone, he is no longer an issue in Chadema. Zitto knows exactly what is doing, getting and aiming at. The issue here is those poor people who are following his steps to ACT unknowingly and unconsciously. These people are just forgetting that they have invested a lot of their resources (money, time, energy, blood, sweat) to bring up chadema to that level it is now. From no where a single person who has been evicted from the party for personal mistakes is convincing others to follow him to a new party and leave and foregone their capital behind with Chadema. This is my great worry nothing else!. I think Zitto had only one fruitful choice to make which was to say "I am very sorry" to his group members (chadema) for what happened instead of starting a new political party at this time of the day towards the general election. I am very sure that he is going to extinct politically as the today's Tanzanians a quit different, they know what they want and what they don't.
Wabishi kweli, wanafuata upepo na wanamfuata mtu, eti watu wenye akili wanaweza kuandika bango hawakuchagua chama, mburula hizo walichagua mtu bila kujali sera za chama chake hao wanaakili kweli???
ndio maana kigoma ni maskini
hao unaowaita mburula ndio wa kwanza kupeleka mbunge wa upinzani bungeni nchi hii. na ninyi mkaiga kutoka kwao
hebu wapeni muda mtaona kazi yao!!
Asante kwa kutuona sisi ni MATAAHIRA, mungu akubariki na kukuongezea maarifa
Ona zitto alivyosema mwaka 2012, harafu unilaumi mimi: Kaluvata pia
"katika katiba ya chadema kuna misingi 12 ambayo chama kimejengwa juu yake.Iwapo wanachadema wataisimamia kwa dhati misingi hiyo badala ya kusimamia watu, kamwe hapawezi kutokea malumbano yasiyo na msingi yanayopoteza malengo ya ukombozi mpya wa mtanzania. Inasikitisha kwa sasa hivi kwenye siasa za Tanzania katika vyama vyote kumekuwa na ufuasi wa watu badala ya ufuasi wa misingi.
Watu sio mawe hugeuka, misingi inabaki misingi. Ama unafuata misingi hiyo, au unajiunga na chama kinachofuata misingi unayoitaka au unaanzisha misingi mingine katika chama kipya" (ZITTO KABWE, 12/12/2012)
Kama uliandika na kubeba bango eti tulikuchagua wewe zitto sio chama, je unafuata mtu au msingi ndani ya CHAMA??? kg hao
ndio maana kigoma ni maskini
Inaonesha ni rahisi sana kuwafinyangafinyanga wana kigoma ukiwa umepata elimu kidogo. Yaani wapo km bendera
ndio maana kigoma ni maskini
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.
Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.
Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.
Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.
Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.
sisi ni ZITO tu wanakigoma chadema bai
Wabishi kweli, wanafuata upepo na wanamfuata mtu, eti watu wenye akili wanaweza kuandika bango hawakuchagua chama, mburula hizo walichagua mtu bila kujali sera za chama chake hao wanaakili kweli???
Acha ujinga na dharau, kama unamwona mali nenda akuoe!!!!!
hebu subir kidogo, zzk co muha wa kwanza kufukuzwa chadema kwa style hii. the very first opposition MP in Tanzania history alifukuzwa cdm kwa tuhuma ambazo zzk amepewa pia.
David kafulila alifukuzwa cdm kwa the same style. now is zzk
unategemea wanakigoma waendelee kukiamini chama ambacho kinaonesha ubaguzi wa dhahiri??
give the a break!!
hawa waha wote watatu n wasaliti??
acheni ubaguzi, kila mnaetofautiana mtazamo mkimuita msaliti chama kitakufa