Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Unajua Mkoa wa Kigoma ni eneo linalopendwa sana hapa nchini licha ya kuwa na maendeleo vidocho ila unapendwa sana na hata watu wake ni wema sana.
Ila sasa Kigoma muache kudeka deka inatakiwa muwe mnajiongeza.
Nawapenda Kigoma.
Bye.