Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Naona kila lililo jema linasemwa juu ya mkoa wa Kigoma. Msimwangushe make nyie walau nyota inawaka.
Wenzenu alikokwenda huko ukitoa "kwetu" mambo hayakuwa mazuri hivi.
Mnapewa na mnaongezewa, ni rumbesa ya kila mnachokiomba. Chukueni. Natizamia mikoa mingine pia isaidiwe na kusemwa kwa mipango kama haya ya Kigoma. Naamini nchi ni moja, na maendeleo hayana Kigoma wala "kwetu".
Naona ardhi kwa maekari wanapewa walime, nasikia unaongoza mwenyewe mazungumzo ya kujenga kiwanda cha sukari.
Umehaidi kupanua barabara na kuijenga upya kigoma iwe ya kisasa. Ni mipango mizuri lakini hata mikoa mingine pia walitarajia ukaongee kwa lugha za kujenga zikiwa na mtizamo chanya. Uchanya unapimwa kwa maneno ijapo matendo maridhawa kuliko maneno
Maendeleo hayana vyama, maendeleo hayana kabila wala dini. Basi hima mzee, kwingineko nako ni Tanzania.