Dr Alfonsi
Member
- Jun 16, 2023
- 38
- 74
Habari zenu ndugu.
Tafadhali husikeni na mada tajwa hapo juu.
Natafuta mwanamke wa kufanya nae maisha. Awe mwenye hofu ya Mungu, anayejielewa na kuwa na focus ya maisha.
Awe anapatikana kigoma mjini au wiilaya yeyote ya mkoa wa Kigoma, au hata awe wa nchi jirani (Burundi au Rwanda) ni sawa tu, au mkoa wa jirani kama Tabira sawa - awe Muha, mnyamwezi, msukuma, Mburundi, mrwanda, mnyaturu, mrangi, mmbulu, au mmasai.
Asizidi miaka 38.
Mimi ni mkristo, nina maisha yangu, nahitaji mwanamke mwenye uhitaji na aliyetayari kuungana nami.
KARIBU SANA, inbox (pm) ipo wazi.
ASANTE