Elections 2010 Kigoma: Majimbo matano yaenda upinzani!

JK kweli kichwa cha mwendawazimu anakosa mambo ya kuwaambia wananchi wa Kibondo anasema mambo ya international airport, hivi ni vichekesho nafikiri anaona wananchi ni wajinga. Apeleke uwanja huko kwao Chalinze waanike Korosho, Kigoma tunataka gari la mjomba tu!
 
Hotuba zote za Kikwete alikua lazima ajisifie kua amefanya maendeleo makubwa sana Kigoma. Amewapelekea Umeme wa uhakika, maji na Barabara zimekua safi. Majitu majinga yakawa yanapiga makofi kumshangilia. Kumbe alikua anawadanganya wadanganyika wenzie wa CCM wananchi wa kigoma wamemuonyesha kua alikua anaongea ili apate sifa hamna lolote alilowafanyia
 
hawa jamaa inapotokea mpinzani ameshinda kwa kura chache i.e below 1000 wanaomba recount af ndo wanachakachua...! huyu serukamba lazima kachakachua tu! plz mawakala inapotokea recount tunaomba ndo muwe waangalifu mara elfu zaidi..! we apriciate your wonderful job which u av being duin plz keep it up! tunataka dis tyme bungeni kusikalike na 2015 mafisadi woote wauone ubunge kama JAHANAM..
 
Mwanasiasa, nimemesikiliza Channel Ten, Serukamba ndie katangazwa mshindi!. Unapopost posti kama hii, pia uwe unatoa na update, baada ya kura kuhesabiwa upya, ndipo na uchakachuaji ukapenyea hapo hapo, Serukamba ndipo alipoibukia.

kwani hao chanel 1o ndiyo wana uhakika gani nao siyo wasemaji wamwisho? pasco vipi bwana
zenji vi maalim kachukua nchi?
 
Back
Top Bottom