SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Aliyekuweka kuwa msemaji wa wanakigoma ni nani ewe chawa mnafiki!Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
Tuliza mshonoUnaifahamu barabara ya Lukoma - Mwese, Via Lubalisi?
Mshono anao mama yakoTuliza mshono
Ukiachana na username, humo ndani naona unapaka mafuta kwa mgongo wa chupa makusudi kabisa. Anyway, bila D 2 mtu hawezi kuelewa ulivyomsifia mama😀😀😀😀😀😀Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
Kigoma IndependentWapinzani wasijisumbue kabisa kuna kufanya kampeni Kigoma
Kutokuwa na deni haimanishi umejitosheleza.Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
Aisee! Mtu akiamua kumpa sifa marehemu, hata kahaba atasifiwa kuwa amefariki akiwa bikraSGR mpaka Burundi.