Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,596
Huyu sio feki tena wamtunukie tu vyeti vyakeJeshi la polisi mkoa wa Kigoma limemkamata daktari feki toka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Wilaya ya Kasulu ambaye amekuwa akifanya kazi za utabibu kwa zaidi ya miaka kumi katika Hosiptali mbalimbali hapa nchini.
Chanzo: Azam Tv