Kigogo wa Richmond ashinda kesi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,094
164,421
Mtuhumiwa Gile aliyeshtakiwa kwa kughushi nyaraka na kuileta kampuni ya kitapeli ya kufua umeme ya Richmond ameishinda serikali mahakamani.Hukumu hiyo imetolewa jana ktk mahakama ya kisutu.Sourrce gazeti Nipashe.

My take: Sijui Mwakyembe atatuekeza nini tena kufuatia hukumu hii?
 
Richmond iko na mikono ya watu wengi sana wenye nguvu ndani na nje ya Tanzania...Na kwa hili ndilo lililofanya Mkulu atoe kauli ya kuwa hataki kufukua makaburi....Na Mwakyembe anajua mchezo mzima anajaribu tu kutaka kucheza na akili za Wadanganyika...
 
Richmond ndiyo escrow ilishashinda kesi mda ndo maana wakagawana pesa kwa kutumia masandarusi.
 
Mh....kwanini selekale hushindwa kesi jamani
Matukio fulani huakisi akili zao, mfano mauaji ya polisi mkuranga, badala ya kutafiti na kupeleleza mpaka kuwabaini na hatimaye kuwakamata wauaji!!!! serikali kupitia jeshi la polisi inajisifia eti "kufanikiwa narudia tena kufanikiwa kuwaua WATUHUMIWA wa mauaji ya polisi"
 
Richmond iliingizwa Nchini na kupewa baraka zote na ofisi nambari one. Unategemea mtu ashindwe kesi? Hata huyo Mwakyembe anabwabwaja tu ila anaujua ukweli wote.
 
Mtuhumiwa Gile aliyeshtakiwa kwa kughushi nyaraka na kuileta kampuni ya kitapeli ya kufua umeme ya Richmond ameishinda serikali mahakamani.Hukumu hiyo imetolewa jana ktk mahakama ya kisutu.Sourrce gazeti Nipashe.My take;sijui Mwakyembe atatuekeza nini tena kufuatia hukumu hii?
Pamoja na kushinda kesi lakini mwenyezi Mungu MTETEZI wa wanyonge alishashughulika na mhusaika mkuu kwa kuhakikisha hashindi uraisi kwa kutumia hayo mabilioni aliyokwapua kupitia richmond.Mwenyezi MUNGU HADHIHAKIWI KESHAWAPA adhabu yao hapa hapa duniani.Kilio cha wanyonge waliokosa dawa na wengine kufariki kwa kukosa dawa kwa kuwa pesa ambayo ingenunua dawa ilienda kulipia ufisadi wa RICHMOND ili hao mafisadi waneemeke kiharamia kwa pesa za walalahoi wasio na sauti.

Majibu ya RICHMOND tutaendelea kumwachia MUNGU sio mahakama wala Mwakyembe waliotuibia na kukosa huruma kwa taifa hili makazi yao yawe UKIWA .Waalaniwe walalapo na waamkapo wao na watetezi wao na maisha yao yawe ya dhiki KILA WANALOGUSA WASIFANIKIWE.Nawalaani kwa JINA YESU
 
Pamoja na kushinda kesi lakini mwenyezi Mungu MTETEZI wa wanyonge alishashughulika na mhusaika mkuu kwa kuhakikisha hashindi uraisi kwa kutumia hayo mabilioni aliyokwapua kupitia richmond.Mwenyezi MUNGU HADHIHAKIWI KESHAWAPA adhabu yao hapa hapa duniani.Kilio cha wanyonge waliokosa dawa na wengine kufariki kwa kukosa dawa kwa kuwa pesa ambayo ingenunua dawa ilienda kulipia ufisadi wa RICHMOND ili hao mafisadi waneemeka kiharamia kwa pesa za walalahoi wasio na sauti.

Majibu ya RICHMOND tutaendelea kumwachia MUNGU sio mahakama wala Mwakyembe waliotuibia na kukosa huruma kwa taifa hili makazi yao yawe UKIWA .Waalaniwe walalapo na waamkapo wao na watetezi wao na maisha yao yawe ya dhiki KILA WANALOGUSA WASIFANIKIWE.Nawalaani kwa JINA YESU
Amina!
 
Kwa akili ya kawaida, ukisikiliza mijadala kuhusu ufisadi Tanzania, hasa inayofanyika bungeni, unaweza kuhitimisha kuwa mafisadi wapo bungeni na serikalini na siyo zaidi ya hapo.
Watetezi wakuu wa ufisadi ni asilimia kubwa ya wabunge na viongozi wa serikali ambao jukumu la kupambana na ufisadi wamepewa kwa mujibu wa katiba.
 
Back
Top Bottom