Kigogo wa CHADEMA Mwanza arudi CCM

Akiingia chadema anaitwa kamanda akitoka matusi duh.. Kweli hichi chama cha wachaga nomaaaaaa.
 
Kagoma kwenda kuhesabiwa mwisho wa mwakaa huu...
 
Ni afadhali mtu aondoke kwa kuheshimu dhamira yake kuliko kuishi kwa unafiki.
 

Tuambie alikuwa na cheo gani kichama hapo Mwanza sio unakimbilia kuandika Kigogo kumbe alikuwa mpuliza Vuvuzela tu wakati wanaume wakimwaga Sera.
 

phantooooom! Ha! Ni sisiem !?
 
Amefanya vizuri kumfuata babu kukienzi chama chake
 
nguvu ya umma si mchezo, wale wote wenye dhambi za ufisadi watakimbia M4C na kurudi kujificha kwenye pango la wezi. Kingine sisi cdm hatutegemei majina sisi mtaji wetu ni wananchi so wacha wajiengue. M4C ni noma!
 
Uwo ni ujumbe mzuri sana kweli sikuizi CHADEMA haina sera ila wanamanenno mengi sana kazi yao kuiponda CCM.
 
Ishu ya baadhi ya viongozi kuwa na kadi mbili mbili itazidi kuibua mengi sana
 
nguvu ya umma si mchezo, wale wote wenye dhambi za ufisadi watakimbia M4C na kurudi kujificha kwenye pango la wezi. Kingine sisi cdm hatutegemei majina sisi mtaji wetu ni wananchi so wacha wajiengue. M4C ni noma!

umma upi wakati mnadanganya wananchi kwa kumiliki kadi mbili mbili? Mfadhili amekimbia huko anasema hajaona sera za kumkomboa mwananchi zaidi ya vurugu kila uchao
 
Non-determinate. Nawachukia sana watu ambao hawana misimamo! Sichukia jambo alilolifanya lakini nashindwa kuelewa uwezo wake wa kufikir kama upo sawia. Nachojaribu kusema hapa ni kwamba sku zote mtu anapotaka kufanya maamuz ni lazima uangalie mbali mno kuona athar zake za badae..fanya research ya kutosha kabla hujakurupukua. Naamin kama CCM ingekuwa saf asingeweza kujiunga na CHADEMA sina shaka atarudi Peoples kwa bahat mbaya itakuwa too late hata vile ambavyo amepenga kuvipata haitawezekana tena.. rethimk kabla hujafanya maamuzi
 
Daaaaaaaaaah!!!! Watanzania sijui tumelaaniwa katika nini,leo twasema hivi na kesho twasema vile, mwisho wa siku hatukumbuki jana tulisema nini.
Dahhhhh!!!
 
Wanao amia ccm ni kiduchu kuliko wanao amia na wenye mawazo ya kuamia CHADEMA.
 
pia mkuu usisahau kumwambia na asisahau kumsalimia mzee wa meno ya tembo.
 

NILIPIGIA KURA ILEMELA.... sikumuona wala simjui hanijui.... CHADEMA SIO T-SHIRTS NA KOFIA ....!!!! watu wanaelewa wanachotaka..... PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEESSSSSSSSSSS POWER
 
Ukitaka uwe CHADEMA inabidi uwe moto au baridi otherwise vuguvugu hutofaa! Show your true color. Ukija na njaa za posho hakika hutodumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…