Kigogo wa CHADEMA Mwanza arudi CCM

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.
 
Umeandika ujumbe mzuri, ila hapo kwenye sababu umeleta ushabiki na umbumbumbu.
 
Karibu nyumbani,
Waite na wenzako muje mjenge taifa
 
Tumechoka na huu upuuzi wa wanasiasa uchwara.
 
Huyo naye njaa zinamsumbua tu, sasa akaungane na wakina TUNTEMEKE kuingia kaburini.
 
Last edited by a moderator:
Hana aibu! watanzania wanachekeshaga jamani, sijui!!! Hivi huyo alipoingia CHADEMA anayosema sasa hakuona? Kufanya hivyo mara nyingi huonesha ni kiasi gani mtu ni mbumbu,bu badala ya kuonesha werevu. Akafie mbali huko aendako!
 
Posho yako ipo tayari kwa Nape kachukue maana umefanya kazi nzuri ya kinafiki aliyokutuma bwana wako nape
 

Kweli INAONYESHA watu WANAZIPENDA MELI za KINANA ? au ?
 
hana aibu! Watanzania wanachekeshaga jamani, sijui!!! Hivi huyo alipoingia chadema anayosema sasa hakuona? Kufanya hivyo mara nyingi huonesha ni kiasi gani mtu ni mbumbu,bu badala ya kuonesha werevu. Akafie mbali huko aendako!

kwani mke au mchumba unavyoishi nae si ndo unagundua tabia zake zaidii..sasa km mbaya kisa cha kufia kwenye kidonda ambacho hakiponi....
 
ome
Karibu ktk chama cha wenye hekima na waliopewa kibali na Bwana wa majeshi ,achana na masonic movement ambazo ndani yake ibilisi amejibanza ,karibu ccm huku ni nidhamu na kulijenga taifa tunatumia muda mwingi kufanya kazi sio kuandamana na kuilaumu serikali bila kujituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…