Ni Lameck Airo mbunge wa Rorya kupitia CCM ametoa milioni 60 kuhakikisha CCM inashinda kiti cha udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.Zinatumika kwa rushwa na kununua shahada za kupigia kura.Lameck ni mfanyabiashara maarufu na anamiliki pia hoteli ya kifahari hapa Kirumba ijulikanayo kama La Kairo Hotel.
Yote hayo ni kwa ajili ya kuidhibiti CHADEMA.
Nawasilisha.
Na CDM walivyo na njaa kali kuanzia wapenzi+wanachama+ viongozi lazima watapokea tu. Njaa cdm inawaua
Yeah kula CCM ila kura CHADEMA
Fikra za kimasaburi hizo..Huoni ukizoeshwa kula na unapewa vya bure vya kula, mwisho wa siku unaweza kuombwa vingine ukasema unavunjiwa adamu
Huoni ukizoeshwa kula na unapewa vya bure vya kula, mwisho wa siku unaweza kuombwa vingine ukasema unavunjiwa adamu
Na CDM walivyo na njaa kali kuanzia wapenzi+wanachama+ viongozi lazima watapokea tu. Njaa cdm inawaua
Source plz!
Mnajua kama huyu jamaa ni mende lakini?Ni Lameck Airo mbunge wa Rorya kupitia CCM ametoa milioni 60 kuhakikisha CCM inashinda kiti cha udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.Zinatumika kwa rushwa na kununua shahada za kupigia kura.Lameck ni mfanyabiashara maarufu na anamiliki pia hoteli ya kifahari hapa Kirumba ijulikanayo kama La Kairo Hotel.
Yote hayo ni kwa ajili ya kuidhibiti CHADEMA.
Nawasilisha.
akitoa pesa kuleni ni haki yenu wamewaibia sana, ila kura kwa cdm