Kigogo CCM ambaka bintiye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo CCM ambaka bintiye

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Dec 1, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwa aliyesoma hilo gazeti tunaomba atuambie ni kigogo gani huyo, sio wote tuna access na hilo gazeti.
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Loh Loh Loh!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Umepewa source ya habari na rudufu ya gazeti husika, kilichobaki ni wewe kuifanyia kazi, usisubiri kila kitu uwekewe mezani.
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,807
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  the world is coming to an end...watch out
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Maandalizi ya uchaguzi come twenty fifteen!
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Bado wawabake na mama zao kabisa ili wawe maraisi
   
 8. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mganga wake kamuambia hivyo ili aweze kushinda chaguzi za ndani ya chama mwakani
   
 9. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  hiyo inatosha kabisa siitaji kujua ni nani
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huo ni upuuzi yani jamaa kichwani ni kama yai viza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 11. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama hili habari inapatikana online kupitia website ya gazeti husika, pia kumbuka wengine hatuko bongo, hatuna kulipata hilo gazeti haupo. Think ! Think ! Great thinker Think!!!
   
 12. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Nasikia tena ypo Magogoni [​IMG]
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa hulala hata na maiti ili wapate ukubwa sembuse kuwabaka watoto wao!! wengine wamewahi hata kuwabaka mama zao; huko ccm kuna mambo na ndio maana wanaowaua maalbino hawakamatwi na hata wakikamatwa huachiliwa shauri ya umagamba wao!!
   
 14. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nataka nitoe mtazamo wangu juu ya Rai kama gazeti la biashara. Unapoishiwa content na kupoteza mvuto unaanza kuokoteza habari toka kila mahali. Mwishowe unakosa unajikuta umebadili mlengo, mtazamo na soko. Rai baada ya kupolomoka linaanza kugeukia soko la habari za ufuska na ngono kama yalivyo magazeti ya Shigongo.
   
 15. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mkuu kula ano kiongozi,ukweli mtupu
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  CCM ni chama cha mapepo machafu. Mtu kumbaka mwanao ni ushetani wa hali ya juu sana ambao hata shetani hajawahi kuufanya.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kachemka huyoo, sio kila page ya rai ipo kwenye mtandao

  naona amekua na mawazo ya zakayo
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  shigongo amelinunua mkuu
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi hili ni lile rai ninalolifahamu lililoanzishwa na Jenerali Ulimwengu au limeanzishwa jingine?
   
 20. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mashetani wakubwa hawa.
   
Loading...