Kumbuka kuwa Hawa Ghasia ni kiongozi tena waziri. Hatuwezi kuwa na mawaziri wasio wawajibikaji namna hii.Hakuwa na sababu ya kusema kitu kama hicho bila kutoa suluhisho. Ama sivyo angemtaja ili watu wajue ni nani wamwepuke. Pili inawezekana si habari ya kweli alitaka tuu kupata credit eti ni mfatiliaji wa mambo yanayo wahusu wafanyakazi wa sirikali lakini kachemka kwa hiyo strategy.
sasa kama anamjua anangoja aambukize wangapi ndio amchukulie hatua?
anasubiri aambukize wangapi ndio achukue hatua? wadada kaeni chonjo