Kigodoro! One night stand! (mlio oa hamuhusiki na hii mada except mizee ya michepuko)

Ole wako ONS inoge na iwe ya mafanikio utajuta. Hapo Captain ni lazima ugandwe na pia uchongwe mzinga. In other words, ata taka awe mmiliki wa kudumu. Yalisha nikuta na ninaongelea uzoefu hapa.
Hahahaaaa! Mechi ya kirafiki unatafuta ubingwa unategemea nini?
 
Ni shiddddah! Hebu msitiri mtoto wa watu jamani
Anistiri nini? I AM A FREE BIRD,! Sina deni na mtu mie! A free soul in a free country, nacheza namba zote! Kantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Lara nakuunga mkono asilimia mia, one night stand inahusika sana sio yale mambo ya kuanza kugandana na kuanza kuchat kijingajinga
Hahaaaaa! Mtu huyo anampenda mkewe, hapo hapo anaupenda mchepuko na bado chombo kipya kikikatiza anacho!
 
Kwani hafai kuigwa? BECAUSE YOU THINK SO.? Unaumwa wewe! Anafaa kuigwa chochote because ITS A FREE COUNTRY na kila mtu anakuwa insipired anavotaka!

Millage kusoma ngapi HIO NI WAPAMBE TU KUJIPA SHIDA,! MUNGU KUMPA KILA MTU YAKE ALIONA MBALI SANAAAAAAAAAAA,! Kama yako unaifuga na kuacha IJE ILIWE NA NYENYELE UDONGONI WELL ITS YOURS,!

Kuolew means ni KUJI SUBMIT KWA MTU, REFER KAMUSI! Kutembea na mtu is called SEX, LOVE , RELATION WHATEVER SUITS YOU!

ahahahahahaha....read again what you just wrote and tell me if makes sense.
 
Kwani hafai kuigwa? BECAUSE YOU THINK SO.? Unaumwa wewe! Anafaa kuigwa chochote because ITS A FREE COUNTRY na kila mtu anakuwa insipired anavotaka!

Millage kusoma ngapi HIO NI WAPAMBE TU KUJIPA SHIDA,! MUNGU KUMPA KILA MTU YAKE ALIONA MBALI SANAAAAAAAAAAA,! Kama yako unaifuga na kuacha IJE ILIWE NA NYENYELE UDONGONI WELL ITS YOURS,!

Kuolew means ni KUJI SUBMIT KWA MTU, REFER KAMUSI! Kutembea na mtu is called SEX, LOVE , RELATION WHATEVER SUITS YOU!

hahahahaah sipati picha tungepewa za kushare lols anyway why usiige mazuri yatakayokufanya usiburuzwe na wanaume na kutumia the so called one night stand maana kwa mtu anaejiweza kiuchumi sidhani kama anaweza kujiachia achilia mbali wale waliotulia
 
hahaha lara 1 unanitangaza utanipunguzia dau bhana Asprin nilishamdanganya vingine lols BACK TO THE TOPIC one night stand ni kujidhalilisha tu utajiachia kwa wangapi???? mtu ajiiite working class afu anabinjuliwa the so called one night stand ??? ni majanga lol kwanini ustafute HB wako peke yako akakuridhisha mkaridhiana eeeeh hayo mambo ya one night stand mwishowe unajikuta unachakazwa roho na mwili like madame W ukija kustuka historia yako ni zaidi ya timu ya mpira hahahahaha

Anhaaaa...... kumbeee!!!!!
 
Last edited by a moderator:
lara 1 wacha tu niseme me understand you nothing kwa kweli............
 
Last edited by a moderator:
one night stand?
thats a big NO kwangu

mtu anaefanya hivyo naona kama kajikinai
 
Hii kitu ya one night stand inahusika sana aisee hasa kwa watu wenye commitment.Ukishakula kitu hapo una ujakika wa kutopigiwa zile late calls na messages mbili mbili za rent imeisha.

wengine wanaboa bhanaaaa. Mmepeana 1 night stand after that mtu anakugandaaaaa kama ruba au utasema wewe ndo mwanamke wake wa kwanza bhana.
Hiko kitu ndo kinaniboa kiasi unaweza kukamatwa kwa wale wenye commitment zao inafikia hadi unaogopa simu yako au hata kuonana nae
 
watu wanamtafsiri Oprah very differently and wrongly. yan wao wanaona tu kule kutokuolewa ndo wanakotaka kuiga..miss independent. ila hawataki kuiga the struggling hussling woman who made it bila kuhongwa na kuto.mbwa na waume za watu. they dont see the oprah who doesnt go out drinking at every other bar with just any man who flashes money on thwir faces...utawasikia tu 'oh me i want to be like oprah' na wanakisambaza kitumbua kuliko wadada walioolewa.

for one Oprah hapaswi kuwa mfano wa kuigwa kwenye rships..she has issues. muigeni kwenye determination yake ya kutoka kimaisha kwenye struggle yake ya kuifanya dunia a better place to live..there is so muchcto learn and get inspired from Oprah but sadly these bit.chy whor.es wanakimbilia kutokuolewa.

in as much as i agree ndoa haikuandikiwa every person then live as one who wasnt meant for marriage....sio mileage inasoma 350,674km n u r just 24 years na unasema mi sitaki kuolewa..WTH...ushaolewa miaka mia iliyopita.
Its so sad bro, thamani ya mwanamke imeshuka na kufananishwa na bei ya mkate,
If you don't love yourself unategemea mimi nikupende kweli, good girls gone bad,the city is filled with them
 
Back
Top Bottom