Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Mhhhhhhhhhhh
Mhhhhhhhhhhh
Hahahahahahahahahahaha wewe mvulana unaanzaje kushindana na wanaume?
Teh teh
Nataka kuisafisha Jf watu watoke kwenye minyororo.
Najitolea ndoo ya Omo.....
Nataka kuisafisha Jf watu watoke kwenye minyororo.
Mbona hakuana wimbo wa kusindikiza hiki kigodoro?
One nite stand- Joe Thomas kutoka album my name is Joe...alimaanisha one nite kikweli kweli si hii ya kukutana kwenye lift mnapandishana kimini then iitwe one nite stand..how?