Kigodoro! One night stand! (mlio oa hamuhusiki na hii mada except mizee ya michepuko)

Huku kwetu bila hela hupati kitu,,, lazima mizinga ipigwe sana na ivi tshs ya tz iko chini kdg basi hatuitaki tunaogopa kukatwa bure
Hahahaaa! Wagawa kwa promosheni watakuja kukushukia sasa hivi!
 
hahaha lara 1 unanitangaza utanipunguzia dau bhana Asprin nilishamdanganya vingine lols BACK TO THE TOPIC one night stand ni kujidhalilisha tu utajiachia kwa wangapi???? mtu ajiiite working class afu anabinjuliwa the so called one night stand ??? ni majanga lol kwanini ustafute HB wako peke yako akakuridhisha mkaridhiana eeeeh hayo mambo ya one night stand mwishowe unajikuta unachakazwa roho na mwili like madame W ukija kustuka historia yako ni zaidi ya timu ya mpira hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
mwanangu siku hizi hakuna cha peke yako, tupo watatu mi mwenyewe na dada zanu AshaDii na gfsonwin

Kumbe mamii DEMBA kama umeridhia mwenyewe sawa. Nilijuwa hao wake wenzako ni wale waruwaru kumbe hawa wanaojiheshimu, vizuri nami nitawaheshimu na kuwapenda kama wewe.
Najua siku hizi hakuna cha peke yako ndio maana hata mtoto wenu nimemtafutia michepuko hahaahhahahaaaa!!!!
 
michepuko ndio habari ya mujini mkwe wangu, mimi mwenyewe ninalimchepuko langu nalipendaje tena kuliko hata njia kuu....
 
Hii swala pamoja na watu nikuwamo mie kulipenda coz halina costs za ajabu2 lina madhara makubwa sana hasa kwa wenye ndoa zao, semina,warsha za nje ya vituo vya kazi mh!acha tu.
 
Tupo pamoja sana mkuu tatzo la hawa akna dada wanapenda sana uruba ukishamgegeda tu vizuri tayar ushakua bf sasa ukimpata wa one nyt stand inshu za i love u znakua hazpo na mi msg ya vizinga inakua hamna mie i lyk it very much
 
Hii kitu ya one night stand inahusika sana aisee hasa kwa watu wenye commitment.Ukishakula kitu hapo una ujakika wa kutopigiwa zile late calls na messages mbili mbili za rent imeisha.

Ole wako ONS inoge na iwe ya mafanikio utajuta. Hapo Captain ni lazima ugandwe na pia uchongwe mzinga. In other words, ata taka awe mmiliki wa kudumu. Yalisha nikuta na ninaongelea uzoefu hapa.
 
Ni shiddddah! Hebu msitiri mtoto wa watu jamani

watu wanamtafsiri Oprah very differently and wrongly. yan wao wanaona tu kule kutokuolewa ndo wanakotaka kuiga..miss independent. ila hawataki kuiga the struggling hussling woman who made it bila kuhongwa na kuto.mbwa na waume za watu. they dont see the oprah who doesnt go out drinking at every other bar with just any man who flashes money on thwir faces...utawasikia tu 'oh me i want to be like oprah' na wanakisambaza kitumbua kuliko wadada walioolewa.

for one Oprah hapaswi kuwa mfano wa kuigwa kwenye rships..she has issues. muigeni kwenye determination yake ya kutoka kimaisha kwenye struggle yake ya kuifanya dunia a better place to live..there is so muchcto learn and get inspired from Oprah but sadly these bit.chy whor.es wanakimbilia kutokuolewa.

in as much as i agree ndoa haikuandikiwa every person then live as one who wasnt meant for marriage....sio mileage inasoma 350,674km n u r just 24 years na unasema mi sitaki kuolewa..WTH...ushaolewa miaka mia iliyopita.
 
Nimetumia masaa 18 kusoma kilichoandikwa hapo juu lakini sijaelewa maana yake.
 
hahaha lara 1 unanitangaza utanipunguzia dau bhana Asprin nilishamdanganya vingine lols BACK TO THE TOPIC one night stand ni kujidhalilisha tu utajiachia kwa wangapi???? mtu ajiiite working class afu anabinjuliwa the so called one night stand ??? ni majanga lol kwanini ustafute HB wako peke yako akakuridhisha mkaridhiana eeeeh hayo mambo ya one night stand mwishowe unajikuta unachakazwa roho na mwili like madame W ukija kustuka historia yako ni zaidi ya timu ya mpira hahahahaha
Hahahaaaaaaaa! WAKO PEKE YAKO,!!!! Keep the fairy tale at heart! I wish life was thst simple!

Ukimpata hb, ukute hana senti tano kipande, au anazo afu funua funua, au bandidu!

THERE IS NO A SUCH THING AS A COMPLETE PACKAGE,!
 
watu wanamtafsiri Oprah very differently and wrongly. yan wao wanaona tu kule kutokuolewa ndo wanakotaka kuiga..miss independent. ila hawataki kuiga the struggling hussling woman who made it bila kuhongwa na kuto.mbwa na waume za watu. they dont see the oprah who doesnt go out drinking at every other bar with just any man who flashes money on thwir faces...utawasikia tu 'oh me i want to be like oprah' na wanakisambaza kitumbua kuliko wadada walioolewa.

for one Oprah hapaswi kuwa mfano wa kuigwa kwenye rships..she has issues. muigeni kwenye determination yake ya kutoka kimaisha kwenye struggle yake ya kuifanya dunia a better place to live..there is so muchcto learn and get inspired from Oprah but sadly these bit.chy whor.es wanakimbilia kutokuolewa.

in as much as i agree ndoa haikuandikiwa every person then live as one who wasnt meant for marriage....sio mileage inasoma 350,674km n u r just 24 years na unasema mi sitaki kuolewa..WTH...ushaolewa miaka mia iliyopita.

Kwani hafai kuigwa? BECAUSE YOU THINK SO.? Unaumwa wewe! Anafaa kuigwa chochote because ITS A FREE COUNTRY na kila mtu anakuwa insipired anavotaka!

Millage kusoma ngapi HIO NI WAPAMBE TU KUJIPA SHIDA,! MUNGU KUMPA KILA MTU YAKE ALIONA MBALI SANAAAAAAAAAAA,! Kama yako unaifuga na kuacha IJE ILIWE NA NYENYELE UDONGONI WELL ITS YOURS,!

Kuolew means ni KUJI SUBMIT KWA MTU, REFER KAMUSI! Kutembea na mtu is called SEX, LOVE , RELATION WHATEVER SUITS YOU!
 
Back
Top Bottom