kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,885
hii nayo imeniacha hoi mkuu, kuna watu wana uthubutu.Hahahaaa... Kuna jamaa mmoja huko Mbeya mwaka juzi aliwashia sigara kwenye mwenge. Ilibidi achezee kichapo lakini...

Wangeuiba na huo mwenge wakautupe tu, hauna manufaa yoyote kwa mtanzania wa kawaida kwa sasa.
Manufaa hauna kwako sisi tunajivunia mwenge wetu, na njaa nyngne mbaya