el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,051
Baada ya Tuzo za kora kudorora tuzo pekee zenye hadhi kubwa zaidi kwa upande wa africa ni MTV na B.E.T...
Hivi karibuni Tanzania tumeweza kupata muwakilishi wetu kwenye hizo tuzo zaidi ya mara moja kilichonisikitisha ni kwenye Tuzo hizi za B.E.T kutoeleweka vigezo vyao....
Mfano mwaka jana Msanii ambaye haipingiki alikuwa on fire hapa afrika mashariki tena si hata kwa kukaribiana alikuwa Dimond kutoka Tz... kuanzia nguvu ya ushawishi kwenye mitandao, kubeba tuzo mbalimbali kwenye huu ukanda wa afrika mashariki, kutoa hit songs afrika mashariki na kati, viewers wengi wa nyimbo zake youtube n.k...
Upande wa Afrka magharibi kulikuwa kuna watu wawili kama Davido na Wizkid... especially wizkid ngoma yake ya ojuelegba ilikuwa universal hit, mpaka kufanyiwa remix na wasanii wakubwa duniani kama drake na wengineo... lakkini mwisho wa siku alishinda Stanbwoy huku wengi tukibakiwa na maswali...
Mwaka huu
Dimond akiwa ametoa ngoma kali kibao kama Nana , make me sing, utanipenda nk....kuelekea msimu mpya pamoja na kufanya collabo kadhaa aliendelea kumaintain status as the leading artist wa afrika mashariki na kati, upande wa magharibi Davido na wizzy kama kawaida wameendelea kutoa ngoma bila kumsahau yemmy alade....
kama kawaida B.E.T wamekuja na suprise... kashinda Black cofee mtu ambaye katika msimu huu wa Tuzo ya B.E.T hakuna kubwa alilofanya kwenye muziki wa afrika ambalo kwa wafuatiliaji wa muziki hapa afrika watakiri kuwa anastahili...
swali..
B.E.T wanatumia kigezo gani kumpa msanii kutoka afrika Tuzo?...
Kwa Dimond.....
Kama walikunyima Tuzo mwaka jana ukiwa on fire wakampa stanbwoy ambaye hata kimomoyo anajua kuwa ulikuwa bora zaidi yake kwa huo mwaka sioni haja ya kutumia nguvu kubwa sana kuomba kura za watu katika B.E.T...
Ifike kipindi wakikunominate utulie tu maana kama ni kura zinaamua mshindi ungeshinda mwaka jana na mwaka huu ambapo watu wamepiga kura sana...umewekeza muda mwingi we na team yako katika kuitafuta B.E.T, cha msingi rudisha nguvu katika muziki wako especially kazi zinazoangalia soko la afrika na dunia maana nguvu unayo, mashabiki unao, na team kubwa ya kusimamia kazi unayo.
Endelea kufanya kazi nzuri... wakiona unastahili watakupa tuzo... tunasuburia dude na psquare na Neyo... wataachia tu mbona...